2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NJOO UZUIE NYUMBA KWA MIEZI 3 FASTA WAHI
NAOMBA SIMU ZIITE BEI NIMESHUSHA WAHI SASA 400K
APPARTMENT MPYA NA KALI INAPANGISHWA KIMARA STOPOVER UMBALI WA DK 7
NYUMBA MPYA AMEKAA MPANGAJI WA KWANZA.
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA.
-SEBULE KUBWA
-DINNING KUBWA
-VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
-PUBLIC TOILET
-JIKO KUBWA FULL MAKABATI
-STOO
-PARKING KUBWA
-PEVING BLOCK
KODI NI 400,000 ILIPWE MIEZI 3,4
ITAKUWA WAZI TAREH 17.7.2025.
MPANGAJI ANA AMIA KWAKE.
#0785889413