2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA KUBWA INA PANGISHWA 
KODI 300,000X6 
LOCATION: KIMARA STOP OVER 
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA 
PUBLIC 
JIKO KUBWA
UMEME LUKU YAKO 
MAJI YANA TILILIKA NDANI 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
UMBALI KM 1.5 
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
NDUGU MTEJA NYUMBA HII UNAWEZA PITIA HATA KIMARA MWISHO PIA UKAFIKA VIZURI
O679447338 
O753454167




















