2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA 
KODI 300,000X6 
LOCATION:  KIMARA STOP OVER 
UMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU
VYUMBA VIWILI VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA KAMA UWANJA
CHOO CHA FAMILIA CHA CHA NDANI 
JIKO KUBWA SANA KAMA CHUMBA
UMEME LUKU YAKO 
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI 
HAIPO NDANI YA FENSI ILA  USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
KUONESHWA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0677445508




















