2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000x3
APARTMENT MPYAAA MPYAAA KABISA HIZI ZINA PANGISHWA 400K
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2.
USAFILI BAJAJI
BODABODA
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI KISASA
JIKO OPEN KITCHEN
FULL MAKABATI
NA KILA NYUMBA INA HEATER YA MAJI MOTO
JIKONI NA CHOONI
PIA AC SEHEMU ZOTE
INAFUNGWA WI-FI
MAFUNDI WAPO WANAMALIZIA KUWEKA PEVING BLOCKS
PACKINGI KUBWA SANA YA KUTOSHA
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASCO YANA FLOW NDANI
ILIPWE 400,000X3
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU HARAKA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI