2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







##0657384670
APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 250,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA NA STORE
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
YANA FLOW NDANI
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
BODA HADI NYUMBANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844