2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 30/09/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#HITER MAJI MOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE AU KIMARA BUCHA KLM 1 BODA BUKU TU MPAKA GETINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747