2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT
KODI 3500,000X6
LOCATION: KIMARA KOROGWE
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
CHOO CHA FAMILIA NDANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
UMBALI NI KM 1.2
BODA 1000
IPO KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
IPO NDAN YA FENC YAKULAZ GAR
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.20
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
TAR 1 ITAKUA WAZ KUONA KULIPIA RUKSA



















