2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 4 KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET 🚽
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW FENSI NDIO IPO NJIANI KUJENGWA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Kodi 500,000/= Kwa Mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.