2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







*NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI#HAKUNA JIKO
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 250,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*ANGALIZO*
============
*HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1/9/2025/ AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO, KUONA NA KULIPIA LUKSA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347