2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA KIMARA SUKA
DAKIKA 3 KWA MGUU
KODI 500,000X6
VYUMBA VIWILI VYOTE NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET PEMBENI
NYUMBA INA FULL AC SEBULENI NA VYUMBANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO FULL PEVING BLOCK
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637