2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE FENSI ZIKO MBALI MBALI MOJA IPO WAZI KIMARA KOROGWE DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA MAKABATI
#PIBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
#NDANI YA FENSI PARKING IPO
SERVICE CHARGE 15,000/=
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
CONTACT
#0676_218580(WHATSAPP)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏