2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







350,000X4/5/6 KIMARA MWISHO DAKIKA 5_6 KWA MGUU
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
UKILIPIA NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO KUMALIZIWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747