2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBLE JIKO NA PABLICK .
INA TAIRIZI NA JIPSAM NDANI YA FENSI ZIKO 2 KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI .
ITAKUWA WAZI 1 TAREHE 29 MWEZI HUU .
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KUTOKA BARABARA YA ZEGE DAKIKA 1 KODI LAKI 5 KWA MWEZI MIEZI 6 NA HELA YA MWEZI MMOJA YA KULIPA NYUMBA .
SERVES CHAJI 15000
0713661530_0783661530