2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI 1.5 KUTOKA LAMI ITAKUWA WAZI 27.11.2025
KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----
Service charge 15,000/=
Kodi.320,000/=ร6
------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.2
------
Contact
#0693__673010
#0676_218580(WhatsApp)
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐



















