2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Duka La Dawa.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Kila kitu unajitegemea
- Wapangaji wawili
Kodi 350,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.