2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Shule. Karibu na lami.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko Linawekwa Makabati Na Sink Safi
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking ipo
- Full A/C
- Kuna kisima maji 24/7
Kodi 350,000/= x 6
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300