2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA KINYEREZI KIFURU
BEI 300 000X6
VYUMBA 2 VYA KULALA
VYOTE.MASTER
SEBULE JIKO
MAJI
UMEME UNAJITEGEMEA
PAKING KUBWA
NYUMBA IPO DK 2 TOKA RAMI
0682511712. 0759989890
0652043191 WHASP
SERVICER CHARGER 20000
MWEZI 1 KUNA MALIPO YA DALALI BAADA YA KULIPIA NYUMBA