2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MADALE KWA KAWAWA
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 20,000/=
Kodi 800,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693__673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH 🇹🇿