2 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam







2 Bedrooms House inapangishwa Makongo Juu, CCM*
* Nyumba ya kupanga itakuwa wazi kupangishwa 27/01/2026 📍Makongo Juu, karibu na kituo Cha bus CCM. Unaruhusiwa kwenda kuangalia mazingira ya nje ya nyumba. Na kulipia
* Ndani ya fensi kuna Nyumba mbili, kila Nyumba inajitegemea luku, maji.
* Nyumba ina vyumba viwili (master bedroom yenye choo na bafu), dinning na sitting room, kitchen na store yake pamoja na public.
* Kuna car parking kubwa ya kutosha.
*Kodi kwa mwezi ni 800,000, * Kodi kuanzia miezi sita kuendelea
MALIPO YA DALALI
Service charge 30k
Agent commission 800k



















