2 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MAKONGO CCM DK TANO KUTOKA MLIMAN CITY📍
BEI MILLION 68📌
UKUBWA WA ENEO SQMT 400
GOOD NEIGHBORHOODS
NJOO WEKEZA HAPA BOSS WANGU
HUYO MWENYE APARTMENTS YA GOROFA CHUMBA SEBULE KODI ANAPOKEA LAKI 8 VYUMBA VIWILI MILLION MOJA
KULIKO KWENDA KUNUNUA SINZA MWEGE MAKUMBUSHO SQMT 288 KWA MILLION 300 NJOO HAPA UPATE SQMT 400 KWA MILLION 68 NA KODI MPOKEE SAWA WEWE NA HAO WALOWEKEZA HUKO KWINGINE
DOCUMENTS ZIPO✅
GARI INAFIKA SITE KAMA UNAVYOONA HAPO
SERVICE CHARGE 50K📌