2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
BODA BUKU KUTEMBEA DK 15
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VYOTE MASTAR INASEBULE WASTANI NAJIKO
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANAFLWOR JIKONI NA CHOONI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI GARI MOJA TU
KODI 300 X 4, 5, 6, 12
KUONA NYUMBA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747