2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba Inayojitegemea (Stand Alone) Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Kwa Zenna), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿
Nyumba hii Inafaa kwa Matumizi ya Ofisi au Kuishi
Nyumba Lami
Ina :
🟢 Vyumba Viwili Vya Kulala(Kimoja Masta), Sebule, Jiko, Choo cha Public
🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme na Maji
Kodi : 700,000 Tshs Kwa Mwezi
Contact call 0712531657
0789731695



















