2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI IPO MBEZI MAGUFULI
NI DK. 10 TUU KWA MGUU
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
ZIPO TATU NDANI YA FENSI
===
KODI. 350,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 350,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CALL 0659244543