2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO. MBEZI. KWAMSUGURI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK TANO KWAMIGUU TOKA ROAD
MUUNDO WAKE
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE KUBWA INAJIKO KUBWA NA PABLICK TOILET
INATAILIS GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YAFENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 400,000/= X3
KUONA NYUMBA HII ELFU 15000
===
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179