2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI MBEZI MWISHO DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
--------
A.
Chumba master
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabati
Luku yako
Maji yana flow
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=Γ6
--------
B...
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Paving block
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Kodi 450,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu.
----------
Contact
π#0676_218580(WhatsApp)
π#0693_673010
#dalali_big_kimara πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT πΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π