2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni
Kubwa sana ukubwa ni Vyumba v 2 kulala kimoja ni masta sebule ipo kubwa
Jiko lipo kubwa sana
Kod sh laki 350//π malipo miezi 4//
Sh laki 3//π malipo miezi 6 π//
Ilipo njia ya mbezi beach kituo ni sicansca umbali wa kushoto ukitokea mwenge
Umbali kutoka sitendi ya daladala ni dakika 8 kwamiguu kutembea tuu π
#0716623170