2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA MPYAA KABISA INA PANGISHWA
KODI 350,000X6
IPO MBEZI MWISHO BARABARA YA MARAMBA
UMBALI KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
CHOO CHA FAMILIA
JIKO KUBWA SANA
YACHINI NDO IMEBAKI
IPO NDANI YA FENSI
BAJAJI 500
BODA 1000
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 3/12/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027



















