2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window.
Luku yako
Tiles
Gypsum
Fence ina jengwa
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=Γ6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693__673010
#DALALI_BIG_KIMARA πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π