2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA IPO MBEZI MWISHO NYUMBA YA STENDI YA MAGUFURI
_______________________
NYUMBA HII INASIFA ZIFUATAZO
___________________
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE
JIKO
UNAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI PAKING KUBWA SANA
NDANI KUNA APATMET3
💰BEI YA NYUMBA HII 250K X 6
LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI MMOJA
ILIPIWE MIEZI6
USAFIRI UPO PIKIPIKI BUKU MPKA KWENYE NYUMBA
UMBALI UKITOKEA STENDI KUU NI KILOMETA1 TU
KUONA NYUMBA15000
DALALI ATALIPWA MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
KALIBU NDUGU MTEJA
⚡️PIA UMEME UKIKATIKA JENERETA LIPO MASAA24
#0625606710