2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA MBEZI MALAMBA MAWILI/KITUO MSIKITINI DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI..
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence Zipo 2
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
---------
Kodi 300,000/=×3
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
CONT
0683234124
0718367179