2 Bedrooms House for Rent at Nzuguni, Dodoma


NYUMBA INAUZWA NZUGUNI BODA DODOMA.
👉10km kutoka mjini na mita 800 kutoka Morogoro road.
👉Muundo wake
1. Chumba master na sebule unit 3
2. Chumba master unit mbili
3. Sebule, dinning, vyumba viwili master unit moja
👉Kiwanja kina ukubwa wa 449sqm, kimepimwa na kina hati.
👉Nyumba inatazama barabara kubwa ya mtaa na inafaa sana kupangisha.
👉 Maji na umeme upo tayari ingawa inahitaji finishing kubwa.
👉 Asking price milioni 67.5
Site fee 10,000
0672312302