2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA(KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO. MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA.
MAZINGIRA TULIVU.
KODI: 150,000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.. KITUO UWANJANI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.