2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA (NI MPYAAAA)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO ZURI.. NYUMBA INAFENI VYUMBA VYOTE, MAJI YANATOKA MASAA 24.
KODI: 200000 X 4
LOCATION: PUGU KISUMU
CONTACT 0614130017