2 Bedrooms House for Rent at Sakina, Arusha







NYUMBA INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
ina Vyumba Viwili Vya Kulala
ina Master Moja
ina Public Toilet
ina Jiko
ina Sebule
ina Heater System
ina Parking
MAHALI:Sakina(Kwa Iddi)
KODI:300,000/= Kwa Mwezi
.
CONTACTS- 0683545452
.
#dalalidavearusha #makonda #Arusha #dalaliwanyumbazakupangaarusha