2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho.
Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko, public toilet, umeme unajitegemea, maji unajitegemea, parking na fence.
Dakika 0 kutoka kituoni.
Kodi 300,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.