2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Apartiment house for rent kali nzuri sana mpya mpya kabisa
Location tabata segerea karibu kabisa na barabara
Kodi 800000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo mita yake
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128