2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Sanene.
Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko, public toilet n.k.
Wapangaji wawili tu.
Kila kitu unajitegemea.
Nyumba inajieleza jamani.
Kodi 400,000/= kwa 300,000/= MIEZI SITA!!!
MUHITAJI PIGA SIMU 0688 412 890.