2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea Kwa Bibi.
Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko, dinning, public toilet, umeme na maji unajitegemea. Paving na parking ipo.
Maji 24/7.
Wapangaji 4.
Kodi 600,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.