2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba mpya inapangishwa Tabata Kimanga.
Ipo karibu na barabara.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 2 kutoka lami
Kodi 500,000/= MIEZI 6.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.