2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA KM2 KUTOKA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL
----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=ร6
-----
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
------
Contact
๐#0693_673010
๐#0676_218580 (WhatsApp)
#Dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐