2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA
#MBEZI_LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU ITAKUWA WAZI TAR 20.5.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW DAWASA
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
TILES,GYPSUM
GARDEN SAFI
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGILA MAZURI MNOO
ELECTRONIC FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 500,000/=×4
O677370515