2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







(400,000 ร 6) ๐จ๐๐จ๐ก๐๐ข ๐ ๐๐๐ข๐๐
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM 2 KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE USAFIRI BAJAJI 700
PIA UNAWEZA KUTOKEA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI BAJAJI 500
APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 400,000 ร 6
IMEBAKI MOJA TU
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SERVICE CHARGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#VYUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCKS
KILA MPANGAJI ANAGETI LAKE STAND ALONE
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 20,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300



















