2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







HII NYUMBA INAKUWA WAZI TAR 05/03/2025 KUJA KUIONA NDANI NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
.
NI IYO YA JUU APO
.
NYUMBA IPO UBUNGO MAKOKA
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VIKUBWA
KIMOJA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO ZURI KUBWA
LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKO
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
.
HII NYUMBA GARI LINAFIKA HADI NYUMBANI ILA PARKING HAKUNA
.
UFIKAJI
=======
UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA
.
UKITOKEA UBUNGO RIVA SIDE UNAFIKA
.
KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT
0712656027