2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







0679 997610
#APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA
#KODI 400,000X6
LOCATION #UBUNGO_MAKOKA KM 2
#USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU #KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫 KILA MPANGAJI ANAGETI LAKE STAND ALONE



















