2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


0679 997610
0747997630
vyumba 2 vya kulala bei 300k X6
location ubungo makoka dk4 upo kwako
sifa ya nyumba
#vyumba 2 vya kulala
#pablick toilet ndani
#sebre sio kubwa ya kawaida
#jiko zuri la kisasa
#maji dawaso yanafroo ndani
#nyumba ipo ndani ya fens no park gari ailali ndugu mteja zingatia maelezo
#Nyumba izi kuona na kulipia ruksa miezi 6 tarehe 1 ndio zinakuwa tayari kuingia
izi nyumba zipi 4 ndani za 300k zipo nyumba 3 moja ni chumba sebre choo jiko bei 250k