2 Bedrooms House for Rent at Uwanja Wa Ndege, Mara


🔥 JUMBA LA DHAHABU
📍 SalaSala Ushuani – Dakika 2 tu kutoka LAMI (Nimepima)🪢
✨ 2 Bedrooms (1 Master)
🍳 Jiko kubwa la kisasa mno
🚻 Public Toilet
🏢 Ghorofa – zipo juu & chini (chagua unayopenda)
⚡ Umeme wako
💧 Maji bure 24/7
🛡️ Ulinzi bure
🅿️ Parking kama uwanja wa ndege
🧱 Fence kama kambi ya jeshi
🏡 Nyumba mpya kabisa – hajawahi kukaa hata mlinzi🤓
💰 Kodi: 700,000 / miezi 6
🚪 Visiting Fee: 30,000
🤝 Dalali Fee: 1 Month (ukipenda nyumba – kwa heshima 🙌)
📞 DALALI_DIZZO_UBUNGO25
☎️ CALL/WHATSAPP...O677370515


















