2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


🏘️ Miliki Mradi wa Apartment 14 Kigamboni kwa Mpigo Mmoja!
🚨 Fursa ya kipekee ya kuingiza mamilioni kwa passive income iko hapa – usiikose!
📏 Eneo kubwa la SQM 4,327, limepimwa na lina hati miliki mkononi – hakuna usumbufu, hakuna wasiwasi!
📍 Lipo mita 100 tu kutoka barabara kuu ya Kibada–Mikwambe, ndani ya Kigamboni inayokua kwa kasi ya ajabu!
🔨 Mradi tayari umeanza – Kazi yako ni kumalizia na kuanza kuvuna!
• 🛏️ Vyumba 2 vya kulala kwa kila apartment
• 🛋️ Sebule kubwa
• 🍽️ Jiko na dining
• ✅ Apartment moja tayari imeshaezekwa!
💼 Uwekezaji wenye faida ya muda mrefu!
💰 Bei: TZS 480,000,000 (value unmatched!)
☎️ Wahi sasa: 0711 890 764
📱 Instagram: oweruinternational_ltd
✨ Oweru International Ltd – Tunafanya uwekezaji kuwa rahisi, salama na nafuu kwa kila Mtanzania!
#RealEstateTanzania #InvestInTanzania #RentalIncomeOpportunity #KigamboniInvestment #OwnApartments #OweruInternational #WeMakeInvestmentEasy