2 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA
📍 Mahali: Madale — umbali wa mita 300 kutoka lami
📏 Ukubwa wa Kiwanja: 400 sqm
💰 Bei: Milioni 80
📄📔 Ina hati miliki
📌 Sifa za Nyumba:
🛏️ Vyumba 2 (kimoja ni Master)
🛋️ Sebule
🍽️ Jiko
🏠 Ina chumba cha nje pia
📍 Sifa za Eneo (Madale):
✅ Eneo tulivu na salama kwa makazi
✅ Miundombinu ya barabara imeboreshwa
✅ Umeme na maji vinapatikana
✅ Karibu na huduma muhimu: shule, vituo vya afya, na maduka
✅ Maendeleo ya haraka ya makazi ya kisasa
📞 Wasiliana:
#0758998074👈
#0689138795whatsapp