2 Bedrooms House for sale at Mazimbu, Morogoro


NYUMBA YA MTU KUISHI INA VYUMBA VIWILI NA SEBULE YAKE KUNA FONDATION PEMBENI NA ENEO LIMEBAKIA.
IPO MAENEO YA MAZIMBU NYUMA YA ZAHANATI NA OFISI YA MTENDAJI, SHULE YA MSINGI MAZIMBU.
UKUBWA WA ENEO 663 SQM
BEI YA 40MILIONI
DOCUMENTS ZOTE ZIPO(OFFER)
NB. MAZUNGUMZO YAPO
CONTACTS
📲0678-517158
📲0785-517158