2 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 65 TU
IPO MBAGALA CHAMAZ SAKU KWA MKONGO JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE
INA VYUMBA VNNE VYA KULALA VYUMBA VIWILI NI MASTERS BEDROOM INA STTING ROOM NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER ⬛️ 450
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NJOO BOSS WANGU UKAGUE HII SI YA KUIKOSA KABISA IPO JILANI KABISA NA BARA BARA KUU YA LAMI
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 🇹🇿 0759 203175 0652 618 143 0759 203175


















